Vodacom Premier League (VPL) Simba SC vs KMC FC, burudani ya uhakika Uwanja wa Taifa

81, Ametoka Luis Miquissone ameingia Shiboub

Ametoka Chama, ameingia Ajibu upande wa Simba SC
 
Free kick kuelekea KMC anakwenda kupigaaa Ajibu

Anapiga chini chini mpira unagonga ukuta wa mabeki wa KMC
 
Salum Aiyeee anahamisha uwanja anapiga unagonga mlingoti, wanamiliki Simba wanapiga mbele kwa Deo Kanda
 
90+3'

kuelekea kumalizika kwa mchezo huu wa VPL

Wanamiliki KMC, wanapiga mbele golikipa Manula anadaka

Wanakwenda Simba kutafuta nafasi ya bao la tatu, kwake Ajibu, Ajibu anatisha anapigaaa, lakini golikipa Jonathan anacheza vizuri sana.

Naaaaaaam mpira umekwishaaaa ambapo Simba wameibuka na ushindi wa mabao matatu bila majibu yakiwekwa kimiani na Luis Miquissone 70' 72'

VPL, FT: Simba SC 2- 1 KMC FC
 
Baaada ya kile kifurushi kufika salama kmc

kilicho akilini kitumie
 
Tujuzane kituo kinachofuata

Wape salaaamm [emoji28][emoji28][emoji28]

Vyura [emoji196][emoji196][emoji196]

Sent from my Infinix X606B using Tapatalk
 
Hiki ndicho kikosi cha tarehe name mwezi wa tatu 2020 dhidi ya Yanga Yangu.
Yaani hapo ni kumtoa Boko nankumweka Kagere namba 9
Na namba Saba aanze Kanda.
Tunaomba kusiwe na Majeruhi na kikosi kiwe hivi.
1. Manula
2. Kapombe
3. Hussein
4. Nyoni
5. Wawa Sultani Jevdet
6. Mkude
7. Kanda
8. Chama
9. Kagere
10. Luiz
11. Kahata.

Sub.
Dilunga 7
Mzamilu 8
Fraga 6
Kakolanya 1
Mlipili 4
Gadieli 3
Boko 9
Rashidi Juma 11




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…