Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule ukali tulioonyesha sisi mashabiki dhidi ya wachezaji wetu wazembe wazembe umesaidia sana. Unadhani hata Manula atafanya tena ule upuuzi wake?Simba haitaki mchezo mchezo. huu mziki wa second half ukikutana na Yanga anayekata chaji dakika 45,sijui itakuwaje
Hahaha Muache apumue kidogo mkuu Mana huu mziki wa Simba kuucheza inabidi ushibe Yakhe.
Baaada ya kile kifurushi kufika salama kmc90+3'
kuelekea kumalizika kwa mchezo huu wa VPL
Wanamiliki KMC, wanapiga mbele golikipa Manula anadaka
Wanakwenda Simba kutafuta nafasi ya bao la tatu, kwake Ajibu, Ajibu anatisha anapigaaa, lakini golikipa anacheza vizuri sana.
Naaaaaaam mpira umekwishaaaa ambapo Simba wameibuka na ushindi wa mabao matatu bila majibu yakiwekwa kimiani na Luis Miquissone 70' 72'
VPL, FT: Simba SC 2- 1 KMC FC
umetazama mpira na magoli yake lakini?au ndo unakenua tu humuBaaada ya kile kifurushi kufika salama kmc
kilicho akilini kitumie