Vodacom Premier League (VPL) Simba SC vs KMC FC, burudani ya uhakika Uwanja wa Taifa

Watu watapigwa mkono mkuu kwa hiki kikosi [emoji109] weka mbali na watoto
 
Hao watu hatujacheza nao ? mbona hazikuisha Half time hizo mechi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh!! Hivyo unataka niseme mutashinda. Lol.

Hapana hiyooo.
Kama ni ku bet usithubutu kabisa maana mkeka wako utachanika mapeeema. Si unajua tena siku hiyo kiungo Lunyasi ndio atakishika? Kwa hio hakutakua na cha Morison mtembea juu ya mpira wala nani sijui.

Katikati ya dimba kutakua na Mwamba wa Lusaka, Kahata, Kanda, Konde boy na Mkude. Yaani sioni mtapumulia wapi kwakweli
 
Hahahaa. Umefanya nicheke. Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…