Vodacom Premier League (VPL) Simba SC vs KMC FC, burudani ya uhakika Uwanja wa Taifa

Vodacom Premier League (VPL) Simba SC vs KMC FC, burudani ya uhakika Uwanja wa Taifa

Hiki ndicho kikosi cha tarehe name mwezi wa tatu 2020 dhidi ya Yanga Yangu.
Yaani hapo ni kumtoa Boko nankumweka Kagere namba 9
Na namba Saba aanze Kanda.
Tunaomba kusiwe na Majeruhi na kikosi kiwe hivi.
1. Manula
2. Kapombe
3. Hussein
4. Nyoni
5. Wawa Sultani Jevdet
6. Mkude
7. Kanda
8. Chama
9. Kagere
10. Luiz
11. Kahata.

Sub.
Dilunga 7
Mzamilu 8
Fraga 6
Kakolanya 1
Mlipili 4
Gadieli 3
Boko 9
Rashidi Juma 11

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu watapigwa mkono mkuu kwa hiki kikosi [emoji109] weka mbali na watoto
 
Huko kwenye CAF utakuwa unawaonea bure Simba niliangalia game ya raja Casablanca vs Tp mazembe robo fainal pamoja na Zamalek vs Esperance namna walivyokuwa wanashindana ni next level mpira ulikuwa una kasi mda wote watu wanapishana utazani wanacheza tennis hawakupi hata nafasi ya kufanya mbwembwe na kwa aina ya beki za Simba wazito game inaisha half time.
Hao watu hatujacheza nao ? mbona hazikuisha Half time hizo mechi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh!! Hivyo unataka niseme mutashinda. Lol.

Hapana hiyooo.
Kama ni ku bet usithubutu kabisa maana mkeka wako utachanika mapeeema. Si unajua tena siku hiyo kiungo Lunyasi ndio atakishika? Kwa hio hakutakua na cha Morison mtembea juu ya mpira wala nani sijui.

Katikati ya dimba kutakua na Mwamba wa Lusaka, Kahata, Kanda, Konde boy na Mkude. Yaani sioni mtapumulia wapi kwakweli
 
Hahahaa. Umefanya nicheke. Lol
 
Back
Top Bottom