Vodacom Premier League (VPL) Simba SC vs KMC FC, burudani ya uhakika Uwanja wa Taifa

View attachment 1374345
Chukua hiyo [emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Mnakamoja tu

Tuna
Luis Muiqsson
Deogratius Kanda
Chama

hapo hapo tuna
Kahata
Shiboub
Dilunga

hilo ni eneo letu la mbele

hapo hapo
Mzamiru karudi
tuna galasa lenu pia Ajibu

huko kwenu ni Papy Kabamba peke yake, asipokuwepo huku hata Faru Fc itawasumbua

na tunapita nae, yeye mwenyewe ndoto yake ni kucheza na kina Chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo uchokozi huo, kama Jery nani yulee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Luis Muiqsson
Deo Kanda
Chama
Dilunga
Shiboub
Kahata

nyie mmoja tu ..alafu unathubutu kukenua ? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha weee!!

Umejua kuwapangilia mwenyewe japo nikwambie kwenye derby ya Yanga na Simba jipange kuwasahau hao. 😎
 
Kwani hujui zile 2 Manula mlipa Harrier tako tako😂😂😂
Naona wewe ulianza kupenda team kwanza kuliko mpira wenyewe magoal aliyofungwa manula kipa yoyote barani ulaya anafungwa Mapinduzi balama alipiga shuti Kali na lenye kipimo liloenda angle 90 hata de gea magoal Kama haya anafungwa Bora ungemsifia mpijaji kuliko kumlaumu manula.Goal la pili Hussein shabalala amejifunga sasa hapo kosa la manula lipo wapi?
 
Sijaelewa sasa hivyo hizi sifa wanajipa za bure eee au?
Mfano mzuri huyo luiz a.k.a kondeboy wanaompamba amekosa number kwenye first eleven ya mamelody ya sa ndo wakaamua wamruhusu aondoke ndo akaenda Simba hapo inaonesha namna gani wenzetu walivyo kwenye level ya juu.Sawa Simba anashinda je anashinda dhidi ya Nani? Na hao wachezaji wanaowapamba Kama chama, deo Kanda wanacheza na kushindana pamoja na kushine dhidi wachezaji wa level ipi?
 
Mimi napenda mpira zaidi kuliko ushabiki,bado tunasafari ndefu ,kuufikia Ubingwa wa Afrika,Simba huwa wanajaribu kufurukuta lakini wapi.
Ni ngumu Sana kuwa na beki Aina ya Nyoni,Wawa,Yondani,Yakub na wengine eti upambane na uchukue Ubingwa wa Afrika...bado!
Hapa huwa tunawafunga kwa hamasa tu;
Ni lazima tuwekeze kwa vijana na tuwe wavumilivu.Uwekezaji Kama wa Kipingu pale Makongo,uliwaketa Kaseja,na kundi,lake,au Simba ilivyofanya kwa kina Mkude,Shabalala !Jambo la pili Ni lazima Ligi I we Bora,Ligi yetu mbali ya kuwa na hamasa na fedha lakini haina ubora,tofauti na Kenya au Uganda.
Mwisho tunahitaji kuwekeza kwenye Menijimenti na Utawala katika soka. Bila kuwa na viongozi wenye weledi hatuendi.
Lakini kwa maana ya kupeana peace of mind ' ,acha tuendelee kushabikia timu zetu hizi!
Simba Nguvu Moja Tarehe 08 Yunatangaxa Ubingwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…