Mfano mzuri huyo luiz a.k.a kondeboy wanaompamba amekosa number kwenye first eleven ya mamelody ya sa ndo wakaamua wamruhusu aondoke ndo akaenda Simba hapo inaonesha namna gani wenzetu walivyo kwenye level ya juu.Sawa Simba anashinda je anashinda dhidi ya Nani? Na hao wachezaji wanaowapamba Kama chama, deo Kanda wanacheza na kushindana pamoja na kushine dhidi wachezaji wa level ipi?
Mimi napenda mpira zaidi kuliko ushabiki,bado tunasafari ndefu ,kuufikia Ubingwa wa Afrika,Simba huwa wanajaribu kufurukuta lakini wapi.
Ni ngumu Sana kuwa na beki Aina ya Nyoni,Wawa,Yondani,Yakub na wengine eti upambane na uchukue Ubingwa wa Afrika...bado!
Hapa huwa tunawafunga kwa hamasa tu;
Ni lazima tuwekeze kwa vijana na tuwe wavumilivu.Uwekezaji Kama wa Kipingu pale Makongo,uliwaketa Kaseja,na kundi,lake,au Simba ilivyofanya kwa kina Mkude,Shabalala !Jambo la pili Ni lazima Ligi I we Bora,Ligi yetu mbali ya kuwa na hamasa na fedha lakini haina ubora,tofauti na Kenya au Uganda.
Mwisho tunahitaji kuwekeza kwenye Menijimenti na Utawala katika soka. Bila kuwa na viongozi wenye weledi hatuendi.
Lakini kwa maana ya kupeana peace of mind ' ,acha tuendelee kushabikia timu zetu hizi!
Simba Nguvu Moja Tarehe 08 Yunatangaxa Ubingwa!