Vodacom Premier League VPL | Simba SC Vs Mbeya City (4-1) | Benjamin Mkapa

Vodacom Premier League VPL | Simba SC Vs Mbeya City (4-1) | Benjamin Mkapa

Timu zipo uwanjani zikifanyiwa ukaguzi salamu pamoja na kupiga picha za kumbukumbu.

Kuashiria kuanza kwa Kandanda
 
00' Naaaam mpira umeanza uwanja wa Mkapa ni Vita vya VPL kuwania alama tutu muhimu

Simba SC 0-0 Mbeya City
 
simba wanapata kona ya kwanza ya mchezo
 
morrison anacheza ndivyo sivyo ndani ya box la mbeya city ..dk ya 11
 
morrisoooooon .... kipa anatemea nje ni kona
 
mbeya wanakosa bao ... benoo anaucheza inakuwa kona dk 16
 
Back
Top Bottom