Vodacom Premier League VPL | Simba SC Vs Mbeya City (4-1) | Benjamin Mkapa

76' Ametoka Morrison na nafasi yake imechukuliwa na Mzamir upande wa Simba

Hii Sub sijaipenda kuna shida gani Morrison kumalizika dakika 90?
 
Reactions: Lee
Tulia wewe utopolo..
 
hizi fauluu mbona zinaletaa majanga
 
off target kwa mbeya city wamejitahid
 
90+3' Kuelekea kumalizika kwa mchezo huku Onyango akionyeshwa Kadi ya Njano.

Chamaaa anakwendaa lakini anashikwa jezi, Kadi ya Njano inatoka kwa Siraji, wakati wowote mpira utakwisha.

Naaaam mpira umekwishaaa ambapo Simba SC wanaibuka na ushindi mnono wa mabao manne kwa moja dhidi ya Mbeya City na kuendelea kujikita kileleni mwa VPL huku wakinusa harufu ya Ubingwa.

VPL,FT: Simba SC 4-1 Mbeya City.

..... Ghazwat.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…