Vodacom Premier League VPL | Uwanja wa Taifa: Yanga SC 0 - 0 Azam FC

Vodacom Premier League VPL | Uwanja wa Taifa: Yanga SC 0 - 0 Azam FC

Mimi ni shabiki lialia wa Deportivo la Utopolo nasema hivi leo tunabakwa na Azam
Kama umezoea kubakwa usisingizie kuwa Mwananchi lialia. Endelea kubakwa huko huko. Usitichafue.
 
Sibomana hovyo wala sio straika yanga uawana staraika kwa sasa yapo magarasa arudi tambwe na makambo labda
 
Wananchi wakiamua hawashindwi kitu, wamuulize mama yao wa mtaa wa Msimbazi tulimfanya nini?
 
42' Mpira umepungua kasi huku timu wakitumia pasi ndefu kuweza kumsogelea lango la timu pinzani
 
45+2' Kuendelea kuwa mapumziko uwanja wa Taifa, hakuna timu imeona lango

Sibomana anaruka juu anapiga kichwa lakini anashindwa kulenga lango la Azam FC na mpira wanaomiliki Azam FC wanajaribu kujenga mashambulizi wanakosea wanachukua Yanga pembeniii

Naaaam Mpira ni mapumziko uwanja wa Taifa huku kila timu ikitoka bila kwa bila.

HT; VPL, Yanga SC 0-0 Azam FC
 
Chizi we, ata offside unataka likubaliwe?
Acha presha na wenge, kwani nimesema bao likubaliwe? Nimesema Azam FC wakiandika bao ambalo mwamuzi alikataa kwa madai ya kuwa ilikuwa offside

Sasa kosa langu liko wapi nimekueleza kilichojiri..Acha Utopolo mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Chamsingi usiukimbie Uzi wako.
 
Acha presha na wenge, kwani nimesema bao likubaliwe? Nimesema Azam FC wakiandika bao ambalo mwamuzi alikataa kwa madai ya kuwa ilikuwa offside

Sasa kosa langu liko wapi nimekueleza kilichojiri..Acha Utopolo mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtangazaji usionyeshe unazi 🤣🤣🤣
 
Leo ni FATHER'S DAY, nyie wamama subiri siku yenu ndo mtashinda.

#WeAreAzam
 
Kipindi cha pili kimeanza huku Yanga SC wakifanya mabadiliko

Ametoka Sibomana na ameingia Morrison.
 
Utopolo kama utopolo washafungwa
 
Back
Top Bottom