Kama umezoea kubakwa usisingizie kuwa Mwananchi lialia. Endelea kubakwa huko huko. Usitichafue.Mimi ni shabiki lialia wa Deportivo la Utopolo nasema hivi leo tunabakwa na Azam
Lakini aliletwa kwa mbwembwe kama zoteSibomana hovyo wala sio straika yanga uawana staraika kwa sasa yapo magarasa arudi tambwe na makambo labda
Sibomana hovyo wala sio straika yanga uawana staraika kwa sasa yapo magarasa arudi tambwe na makambo labda
Lakini aliletwa kwa mbwembwe kama zote
Tulia dawa ukuingie vizuri.
Acha presha na wenge, kwani nimesema bao likubaliwe? Nimesema Azam FC wakiandika bao ambalo mwamuzi alikataa kwa madai ya kuwa ilikuwa offsideChizi we, ata offside unataka likubaliwe?
Chamsingi usiukimbie Uzi wako.Acha presha na wenge, kwani nimesema bao likubaliwe? Nimesema Azam FC wakiandika bao ambalo mwamuzi alikataa kwa madai ya kuwa ilikuwa offside
Sasa kosa langu liko wapi nimekueleza kilichojiri..Acha Utopolo mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtangazaji usionyeshe unazi 🤣🤣🤣Acha presha na wenge, kwani nimesema bao likubaliwe? Nimesema Azam FC wakiandika bao ambalo mwamuzi alikataa kwa madai ya kuwa ilikuwa offside
Sasa kosa langu liko wapi nimekueleza kilichojiri..Acha Utopolo mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana mkuu, tunakwenda haki kwa haki subiri mpate bao uangalie nitakavyotangaza..![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtangazaji usionyeshe unazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]