Nakubaliana na wewe japo mimi ni Lunyasi damusimba timu mbovu sana kila mechi lazima waanze kufungwa, tunashukuru walitolewa mapema klabu bingwa afrika, wangetuaibisha sana.
Hakuna Mkuu Mechii Imelala Hii
Uko sahihi! Kuna tatizo mahaliTuongee ukweli wana simba, mwenendo wa timu yetu uwanjani hauridhishi hata kama tunashinda. Yaani inakuwa nyepesi sana kufungika, ukweli lazima usemwe.
Uchebe alikuwa kocha bhana hii tim ilikuwa mpaka uifunge ilikuwa vigumu lakin siku hizi nilazima tufungwe kwanzaTuongee ukweli wana simba, mwenendo wa timu yetu uwanjani hauridhishi hata kama tunashinda. Yaani inakuwa nyepesi sana kufungika, ukweli lazima usemwe.