Vodacom Premier League 'VPL Uwanja wa Uhuru Dar: Simba SC 0 - 1 JKT Tanzania

90+5' kuelekea kumalizika kwa matanange huu wa VPL

Huku JKT wakicheza vizuri sana eneo la ulinzi kwa kuondosha hatari zooote

Kona kuelekea JKT, inapigwaaaaaa wanaokoa wanachukua Simba tena kwake chama hatari iiiii, wanakosa aaaaaaa

Naaaam mpira umekwisha ambapo JKT wanaibuka na ushindi dhidi ya Simba

VPL, FT; Simba SC 0-1 JKT Tanzania

••••••Ghazwat••••••

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…