Vodacom Premier League 'VPL' Yanga SC ulimi nje, yabanwa mbavu na KMC FC Uwanja wa Taifa

Vodacom Premier League 'VPL' Yanga SC ulimi nje, yabanwa mbavu na KMC FC Uwanja wa Taifa

Mayor wa Kinondoni mkia kama dingi yake na ndio aliyemfanya Bashite apende mkia ..wakati anatoka bara mambo ya mpira alikuwa hajui...
Hii inahusiana nini na matokeo ?akili za vyura zinarukaruka!
 
Bidii ifanyike ili kupunguza idadi ya magoli watakayochapwa January. Wakomae hata ziishie 3 tu
 
Back
Top Bottom