Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Hawa jamaa waoga kama Kunguru.Hivi kwanini hawa mbute mbute hawaanzishagi nyuzi hadi mechi ikiisha ndio wanaonekana? Hawajiamini??
Hahaha [emoji28][emoji28][emoji28]
Kamuulize Mshahuri wenu Mkuu shibwa fc,, Ndg Bashite, atakupa majibu ..Hivi kwanini hawa mbute mbute hawaanzishagi nyuzi hadi mechi ikiisha ndio wanaonekana? Hawajiamini??
Hahaha [emoji28][emoji28][emoji28]
Mpira ni saa 1 usiku mkuu.Wadau leteni Update nadhan mlioko kwa TV ndio mpira uneanza now. Lazima leo Ukwaju umleweshe Chura
Aisee acha kabisa Mkuu, Kagera wamefanya Vyura wakose amani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kagera Sugar hatakaa aje asahau si kwa mauaji yale..!
Mbona Kanjibai Manji kafirisika lakini tumepiga kimya, tatizo lenu kelele nyingi bila mpango. Ile ni Kampuni..NguvuMojaMO ana lia kapata hasara bilioni 70 mwaka jana, Simba imempa hasara ya bilioni 8, Mwaka huu biashara zote zilizompa hasara ana achana nazo, Simba jiandaeni kisaikolojia bosi wenu anaondoka zake.
Sikuwahi kufikiri kuwa Juisi ya Miwa inaweza kuvuruga akili za watu.MO ana lia kapata hasara bilioni 70 mwaka jana, Simba imempa hasara ya bilioni 8, Mwaka huu biashara zote zilizompa hasara ana achana nazo, Simba jiandaeni kisaikolojia bosi wenu anaondoka zake.
Una moyo wa huruma sana Mkuu.
Toka Mwamedy awaletee mshauri Mkuu wa Timu yake... mmechanganyikiwa.....kamuombeni radhi mzee Kilomoni[emoji2][emoji2]Wadau leteni Update nadhan mlioko kwa TV ndio mpira uneanza now. Lazima leo Ukwaju umleweshe Chura
Kampuni ya Mwamedy...yenu ninyi ni makelele ya ushabiki....Mhindi kabeba na Hati Katia kapuniMbona Kanjibai Manji kafirisika lakini tumepiga kimya, tatizo lenu kelele nyingi bila mpango. Ile ni Kampuni..NguvuMoja
Ikiwa hivyo mi ntafanya hivi