Vodacom Premier League: Yanga SC 0 Vs 1 Azam FC

Wadau leteni Update nadhan mlioko kwa TV ndio mpira uneanza now. Lazima leo Ukwaju umleweshe Chura
 
MO ana lia kapata hasara bilioni 70 mwaka jana, Simba imempa hasara ya bilioni 8, Mwaka huu biashara zote zilizompa hasara ana achana nazo, Simba jiandaeni kisaikolojia bosi wenu anaondoka zake.
 
Mbona Kanjibai Manji kafirisika lakini tumepiga kimya, tatizo lenu kelele nyingi bila mpango. Ile ni Kampuni..NguvuMoja
 
Sikuwahi kufikiri kuwa Juisi ya Miwa inaweza kuvuruga akili za watu.
 
[emoji23]
Mbona Kanjibai Manji kafirisika lakini tumepiga kimya, tatizo lenu kelele nyingi bila mpango. Ile ni Kampuni..NguvuMoja
Kampuni ya Mwamedy...yenu ninyi ni makelele ya ushabiki....Mhindi kabeba na Hati Katia kapuni

Mwacheni Mwamedy na timu yake...sio mnajipendekeza tu wakati hamna kitu[emoji1787]

Bill 4 mishahara kwa Mwaka, Mhindi sio fala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom