Vodacom Premier League: Yanga SC 0 Vs 1 Azam FC

Acha kusingizia kukaza Azam, uwezo wenu ni mdogo ebu angalia kichapo dhidi ya Kagera Sugar.
Kufungwa na Kagera siyo sababu kuwa sisi ni weak........na bahati mbaya sisi huwa hatuendi na matokeo mfukoni na force kina Jonisia watusidie
 
Wakati wowote mpira utaanza licha ya hali ya hewa kutokuwa rafiki kutokana mvua inayonyesha

Naaaaaaam mpira umeanza uwanja wa Taifa

Azam FC 0-0 Yanga SC
 
08' Mashambulizi kwa pande zote, Azam wamefika mara moja lango la Yanga hadi kadhalika Yanga

Azam FC 0-0 Yanga SC
 
11' Molinga anakosa nafasi ya wazi kwa shuti lake kutoka sentimita chache ya lango

Chilunda naye shuti lake linatoka pembeni ya lango la Yanga
 
17' Gooo laaaaaaaaaa..Abubakar anakosa kuandika bao baada ya kombora lake kutoka pembeni ya lango la Yanga

Azam FC 0-0 Yanga SC
 
Molingaaaaaa, mpira unagonga mwamba, ilikuwa hatari sana mwendo wa mashuti kwa pande zote
 
23' Chirwa anaonyeshwa kadi ya njano baada kumchezea vibaya Jaffar

Azam FC 0-0 Yanga SC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…