Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Hali yao mbaya juzi hapa walitegemea kupata faraja kwa Mbao lakini nako hola, kwakweli wanahitaji faraja hawa Vyura wasije wakajitundika.Ha ha ha imewavuruga mpaka wamepoteana, na bado wataendelea kupotea.