Ngapi ngapi hukoMpaka hili wanataka Shadeeya ndiyo afanye, wanamtegea sana dada wa watu.
CHINA=CHINI....Azam tandika hao jamaa kamba za kutosha..36' Molinga yupo china akipatiwa matibabu baada kupata rabsha, ameinuka mpira unaendelea
Azam FC 1-0 Yanga SC
Ushuzi wa msibani huu.Yanga bana 😂