BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Amelala huyo
MO ana lia kapata hasara bilioni 70 mwaka jana, Simba imempa hasara ya bilioni 8, Mwaka huu biashara zote zilizompa hasara ana achana nazo, Simba jiandaeni kisaikolojia bosi wenu anaondoka zake.
80' Ally Mtoni anatolewa nje baada kuonyeshwa kadi Nyekundu
Kocha Luc wa Yanga anaonyeshwa kadi ya njano