Vodacom Premier League: Yanga SC 0 Vs 1 Azam FC

Vodacom Premier League: Yanga SC 0 Vs 1 Azam FC

YANGA NIDHAMU MBOVU SANA, MAMAYE ZAO! Ally Mtoni anakula umeme hapa (straight red card). Kocha wao mropokaji na zwazwa Luc Eymal naye anakula yellow card kuleta mdomo domo. REFA ALIKUWA AMEWAVUMILIA KITAMBO SANA.
 
Dakika zilizobaki ni chache kuelekea kumalizika kwa mchezo huu wa VPL
 
Ametoka Tshishimbi ameingia Juma Said Makapu upande wa Yanga SC
 
Bado tu game kuisha Hilohilo moja linatosha
 
90+4' kuelekea kumalizika kwa mpambano huu wa VPL

Azam FC wanapata kona inapigwaaaaaa kona fupi kwake wadada lakini inaokolewa

Mpira unaenda lango Azam FC Razak anadaka analala chini


Naaaaaaaaaaaaaaam mpira umekwisha ambapo Azam FC wanaibuka na ushindi wa bao moja bila likiwa bao la kujifunga kwa mlinzi Ally Mtoni 25'

FT: Azam FC 1-0 Yanga African

....Ghazwat..
 
Back
Top Bottom