sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,496
- 8,491
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii lazima itakuwa REDE...!!! Wacha wapigwe... 'mromo' unawaponzaSijawahi ona timu ya mpira inasajili wachezaji zaidi ya 15 kwa msimu ila yanga wamefanya hivyo. Sasa hiyo ni timu ya mpira au rede?
Kila la kheri timu bora bidhaa bora..!
Hivi Yale maneno ya simba wameleta kishingo yameishia wapi?
Kumbe mna haki January 4 kufurahia draw kwa vipigo mnavyopigwa
hahaha yanga tutawazisha kwenye sport extra mawingu fm saa 3 kamili
Bado na yule kibaka Mghana hajaanza kuonyesha madudu yake.Na atakapoanza kuiba viatu vya wachezaji wenzake wa Yanga ndo akili zitakapowakaa sawa.Huyu Kipe Yanga wamemtoa wapi?Hovyo kabisa