OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Morali ya mashabiki ni ndogo hapa uwanjani. Wachezaji wanapasha tayari kwa mpambano kutafuta point tatu. Ukumbuke tu Yanga SC haijawahi kutoka na point 3 katika uwanja huu zamani ukiitwa Namfua.
Yanga imetoka kufungwa mechi 2 mfululizo huku Singida ikiwapambana kujinasua kushuka daraja.
Nitakuletea updates muhumu
Kikosi cha Yanga
Yanga imetoka kufungwa mechi 2 mfululizo huku Singida ikiwapambana kujinasua kushuka daraja.
Nitakuletea updates muhumu
Kikosi cha Yanga