Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shabiki mvivuHuwa naleta sana unakuta mpambe wa simba kashatanguliza yakwake zinaunganishwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitofautine na wewe katika hili mie namuonaKumbe molinga ni bonge la mchezaji huwezi kumfananisha na kina nchimbi wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu na mimi namuona bonge la mchezaji
Huyo jamaa nimemtizama kwenye ball control, ball dribbling, and ball dancing, for sure he is classy, mmepata mtu guluguja FC.
Jamaa ni fundi.
Huyo jamaa nimemtizama kwenye ball control, ball dribbling, and ball dancing, for sure he is classy, mmepata mtu guluguja FC.
Natamani kumuona akicheza kwenye uwanja wa taifa, uhuru, chamazi, kaitaba au pale nyamagana kwa alliance.Ukiona shabiki wa Menina fc kaongea hivyo ujue huyo jamaa ni habari nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Bali kuna shindano la Kula 5×5×3Hakuna kikombe, au mashindano yanayoitwa ya kihistoria achaneni na huu ujinga..!
Hio juisi siinywi kata labda nishikiwe AK47Leo Tunashinda andaa tu juice ya Kitunguu,limao na ukwaju unywe. Tupo Vizuri.
Ubora wake tusubiri tuuone kwa timu zenye msuli kama Prison au Wabishi kama biashara united vinginevyo kipimo chake bado.Huyo jamaa nimemtizama kwenye ball control, ball dribbling, and ball dancing, for sure he is classy, mmepata mtu guluguja FC.