OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Safi sana vyura wakipigwa itapendeza 🐸🐸Morali ya mashabiki ni ndogo hapa uwanjani. Wachezaji wanapasha tayari kwa mpambano kutafuta point tatu. Ukumbuke tu Yanga SC haijawahi kutoka na point 3 katika uwanja huu zamani ukiitwa Namfua.
Yanga imetoka kufungwa mechi 2 mfululizo huku Singida ikiwapambana kujinasua kushuka daraja.
Nitakuletea updates muhumu
Game saa 10Gemu inaanza saa 10?
Kila la heri Singida
Mkuu! Mie kwa sauti ndogo kabisa naungana na yule shabiki machachari wa Yanga wa vigelegele na miluzi "hakuna alieandikiwa barua kuishabikia Yanga, wacha ituue". Matokeo ya mechi ndio yataamua kama niongeze sauti + kigelegele + mluzi au la! 😅Hawa wakulima wa Alizeti tunawapiga Bao zisizopunguq 3 leo. Team yetu imeshaelewa Falsafa ya Kocha wetu mpya.
Kama tukifungwa leo nipigwe Ban ya masaa 24. Leo ushindi upo nje nje kabisa.yaani bila chenga. Na uhakika wa asilimia 100 na sasa ndo tumefungulia bomba. Tutawatiririshia tu maji machafu mpaka wapagawe.
Mkuu! Mie kwa sauti ndogo kabisa naungana na yule shabiki machachari wa Yanga wa vigelegele na miluzi "hakuna alieandikiwa barua kuishabikia Yanga, wacha ituue". Matokeo ya mechi ndio yataamua kama niongeze sauti + kigelegele + mluzi au la! 😅
Kwa nini usipigwe ban ya mwaka?
Waoga [emoji196][emoji196][emoji196]