Vodacom Premier League: Yanga yavunja mwiko uwanja wa Liti / Namfua, kwa kuitandika Singida Utd kwa magoli 3 -1

Singida United wamenipa taarifa kuwa wanapiga pale palipo na mshono kwasababu bado kidonda ni kibichi kabisa.
 
Leo walau Watapata ushindi maana timu lenyewe mchekea, ikiwa kiongozi ananunua mchezaji kisha anampeleka kwenye litimu lingine kuna nini hapo?

Ilikuja vizuri sana hii timu, lakini huyu ndo anaharibu.
 
Huyo jamaa nimemtizama kwenye ball control, ball dribbling, and ball dancing, for sure he is classy, mmepata mtu guluguja FC.
Ubora wake tusubiri tuuone kwa timu zenye msuli kama Prison au Wabishi kama biashara united vinginevyo kipimo chake bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…