Vodacom Premier League: Yanga yavunja mwiko uwanja wa Liti / Namfua, kwa kuitandika Singida Utd kwa magoli 3 -1

Mzee sio kwa kujiamini huku! Hongera timu ya wananchi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuja Mkuu.

Nawaona mikia wanavyojibaraguza leo. Lol. Kama sio wale wanakuwaga na kauli za shombo. Teh. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Haha nadhani hata mtoa mada alifikir mtatoa sare au kuchezea si unacheki alivyoanza uzi wake....Ila sahivi keshaususa uzi wake....Nadhani wanawavutia pumzi gemu ijayo na mlivyowakejeli humu.
 
Mkuu! Mie kwa sauti ndogo kabisa naungana na yule shabiki machachari wa Yanga wa vigelegele na miluzi "hakuna alieandikiwa barua kuishabikia Yanga, wacha ituue". Matokeo ya mechi ndio yataamua kama niongeze sauti + kigelegele + mluzi au la! πŸ˜…
Naongezea na "Potelea pwete hii ni ya kwetu ..."
cc Shadeeya Job K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…