Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
Ndio na Kizimkazi anacheka zaidi mnavyopigwaYeye achekee hata KIZIMKAZI sawa
Sawa tu, hata awe wapi ye acheke tuNdio na Kizimkazi anacheka zaidi mnavyopigwa
hivi hii si ni kampuni ya chama chakavu ?Vodacom mmekuwa wezi na matapeli, mnachukua pesa za watu kwenye M-pesa na muda wa maongezi kitapeli.
Mara nyingi nimevumilia inatosha. Hii laini kama sijachoma moto basi sitatumia tena.
Utaratibu wa kupiga simu huduma kwa wateja ili kuongea na wahudumu mmeondoa.
VODACOM MUWE NA HURUMA KUWAIBIA WATEJA WENU.
Na mtapigwa tena TCRA Hana Muda wa kuwateteaSawa tu, hata awe wapi ye acheke tu
Hata ingekuwa tume ya mawasiliano sawa tu.Na mtapigwa tena TCRA Hana Muda wa kuwatetea
Wote wanawachekea CHOONI mnavyokula Spana na wao wapo tuHata ingekuwa tume ya mawasiliano sawa tu.
Hahaha hakika mkuuππππ Wewe jamaa utakuwa unanyonyesha asee
Wanajifanya kuunga wateja kwenye huduma zao wanaziita za kidigitali... Hovyo... Wamelamba mia sita yangu... Siwalipi songeshaVodacom mmekuwa wezi na matapeli, mnachukua pesa za watu kwenye M-pesa na muda wa maongezi kitapeli.
Mara nyingi nimevumilia inatosha. Hii laini kama sijachoma moto basi sitatumia tena.
Utaratibu wa kupiga simu huduma kwa wateja ili kuongea na wahudumu mmeondoa.
VODACOM MUWE NA HURUMA KUWAIBIA WATEJA WENU.
Kitumbua cheusi Weweππππ Wewe jamaa utakuwa unanyonyesha asee
TCRA wanawachekea CHOONI tu endeleeni kupigwa hivyo hivyoWanajifanya kuunga wateja kwenye huduma zao wanaziita za kidigitali... Hovyo... Wamelamba mia sita yangu... Siwalipi songesha
Wao wachekee hata jalalaniWote wanawachekea CHOONI mnavyokula Spana na wao wapo tu
Jalalani pale alipotolewa yule Profesa?Wao wachekee hata jalalani
Mm niliisha achana na voda mapambano na Airtel na halotel basi.laini ya voda niliishaitupaVodacom mmekuwa wezi na matapeli, mnachukua pesa za watu kwenye M-pesa na muda wa maongezi kitapeli.
Mara nyingi nimevumilia inatosha. Hii laini kama sijachoma moto basi sitatumia tena.
Utaratibu wa kupiga simu huduma kwa wateja ili kuongea na wahudumu mmeondoa.
VODACOM MUWE NA HURUMA KUWAIBIA WATEJA WENU.
Profesa yupi?Jalalani pale alipotolewa yule Profesa?