KERO Vodacom punguzeni wizi na utapeli

KERO Vodacom punguzeni wizi na utapeli

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
pole,ila nashkru sijawahi kutana na hilo tatizo.....tena sasa hv voda M-PESA kuangalia salio ni bure.........
nenda kwenye vodashop kama kuna shida watarekebisha ila voda kwangu ndio mtandao ambao huduma zake ziko poa sana.......
haswa malipo ya mtandaoni,very secure na nimejiunga na huduma ya muito kwa mpigaji wakikata mia 8 basi ntakaa hata miez 3 hawakati tena
pole kwa changamoto ila nafikiri hio shida ya kukatwa pesa bila huduma ni tatizo la mitandao yote bongo(sina hakika ttcl cooz sijawah kutumia)
 
Vodacom mmekuwa wezi na matapeli, mnachukua pesa za watu kwenye M-pesa na muda wa maongezi kitapeli.

Mara nyingi nimevumilia inatosha. Hii laini kama sijachoma moto basi sitatumia tena.

Utaratibu wa kupiga simu huduma kwa wateja ili kuongea na wahudumu mmeondoa.

VODACOM MUWE NA HURUMA KUWAIBIA WATEJA WENU.
hivi hii si ni kampuni ya chama chakavu ?

Jesus is Lord
 
Vodacom mmekuwa wezi na matapeli, mnachukua pesa za watu kwenye M-pesa na muda wa maongezi kitapeli.

Mara nyingi nimevumilia inatosha. Hii laini kama sijachoma moto basi sitatumia tena.

Utaratibu wa kupiga simu huduma kwa wateja ili kuongea na wahudumu mmeondoa.

VODACOM MUWE NA HURUMA KUWAIBIA WATEJA WENU.
Wanajifanya kuunga wateja kwenye huduma zao wanaziita za kidigitali... Hovyo... Wamelamba mia sita yangu... Siwalipi songesha
 
Mimi mbona sikutani na upuuzi huo, ukiona, umekatwa salio ujue kuna huduma ulijiunga

Pia simu yangu marufuku kushika mtu

Waifu mwenyewe akiishika anaishia kujipiga picha tu tofauti na hapo no

Mpaka sasa songesha kule nina uwezo wa kukopa 260k
 
Vodacom mmekuwa wezi na matapeli, mnachukua pesa za watu kwenye M-pesa na muda wa maongezi kitapeli.

Mara nyingi nimevumilia inatosha. Hii laini kama sijachoma moto basi sitatumia tena.

Utaratibu wa kupiga simu huduma kwa wateja ili kuongea na wahudumu mmeondoa.

VODACOM MUWE NA HURUMA KUWAIBIA WATEJA WENU.
Mm niliisha achana na voda mapambano na Airtel na halotel basi.laini ya voda niliishaitupa
 
Back
Top Bottom