Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Mteja sio panya mpaka muwaekee mtego kama ule wa makusudi kabisa kwahiyo mmeamua kuuza vocha kwa lazma?
Je hamuoni kama huo ni wizi yanI mnamtega mteja anunue vocha badala ya kutuma hela, naomba muitoe option ya kutuma kama vocha kwenye sehemu ya kutuma hela haraka sana sawa tunakubali sisi ni nyumbu lakini mitego yenu ya kitoto muitoe.