Vodacom rekebisheni Mfumo wenu wa Huduma kwa Mteja

Vodacom rekebisheni Mfumo wenu wa Huduma kwa Mteja

Nina mwezi sasa nikinunua bundle hawakutumii meseji ya confirmation ya kiasi ulichopata, muda wa matumizi. Ukiuliza salio ili ujue hakuna response... Ni Mimi tu au hata nyie?? Vodacom Tanzania wacheni janjajanja
 
Huo mtandao acha tu yaani hata number ya customer care ni Shida nikupokewa bado maringo ya aliyepokea hiyo simu
 
Back
Top Bottom