mirindimo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2009 Posts 901 Reaction score 1,742 Nov 13, 2021 #1 Yaani mpaka uongee na mhudumu wa huduma kwa mteja ni baada ya siku 2 hizo masaa hapo unahangaika na bots tu aisee
Yaani mpaka uongee na mhudumu wa huduma kwa mteja ni baada ya siku 2 hizo masaa hapo unahangaika na bots tu aisee
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Nov 13, 2021 #2 Nina mwezi sasa nikinunua bundle hawakutumii meseji ya confirmation ya kiasi ulichopata, muda wa matumizi. Ukiuliza salio ili ujue hakuna response... Ni Mimi tu au hata nyie?? Vodacom Tanzania wacheni janjajanja
Nina mwezi sasa nikinunua bundle hawakutumii meseji ya confirmation ya kiasi ulichopata, muda wa matumizi. Ukiuliza salio ili ujue hakuna response... Ni Mimi tu au hata nyie?? Vodacom Tanzania wacheni janjajanja
ILISACHA JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 2,184 Reaction score 4,030 Nov 13, 2021 #3 Huo mtandao acha tu yaani hata number ya customer care ni Shida nikupokewa bado maringo ya aliyepokea hiyo simu
Huo mtandao acha tu yaani hata number ya customer care ni Shida nikupokewa bado maringo ya aliyepokea hiyo simu