Vodacom sasa watapatapa kutafuta wateja

Vodacom sasa watapatapa kutafuta wateja

Anayetaka vya bure nani wewe mbulula??? tunachotaka sisi ni ubora wa huduma na siyo bure. pia tabia ya wizi wa dakika za maongezi. Nenda kawaambie wenzio tunachotaka sisi ni ubora na siyo vya bure. Nyamafu wewe!

ni kweli voda wana chaka chua sana dakika na kwenye M-pesa ndo majanga wanakata kuliko bank watu wahame tu
 
Usicheze na voda kabisa bw.mmbando,umeruhusu watu kutuma na kupokea pesa bure kwa airtel money yako lakini hakuna mtu amekugeukia, pamoja na kwamba mpesa inakata hela nyingi lakini watu wanaitumia mara zote hata hao wateja wa airtel utasikia 'nitumie kwa mpesa' ...kuliko kupiga propaganda zenu za uongo hapa sumbueni vichwa mjue kwa nini mpesa imedominate hivi. Kuna siku nilitumiwa pesa kwa airtel money nikazunguka masaa kadha hapa mwanza kila wakala anasema hafanyi biashara ya airtel money hailipi!!

kwa hyo voda wanavosumbua watu ni sawa na huduma zao mbovu sasa ivi watu wengi wanatumia airtel juzi nimeunga ya elfu kumi badae wananambia cna salio sasa iv hamna cha dominance wala nini tunataka huduma nzuri
 
Me nimewahama sasa mwezi wa pili nanunua kifurushi cha blackberry wiki nzima hakuna huduma ukiuliza ooh blackberry wanatatizo na hawasemi au kurudisha siku za mteja wapi nikiweka cheap nyingine napata network nikaona stress za nini voda imebaki ya kupokea simu tu internet nipo tigo sijapata usumbufu wa kukosa network
 
Niliwahi kusema humu jf kua voda imezidi matatizo, internet slow au inakata mara kwa mara. Nikasema nimeamua kujitoa na nikaahidi kuwashawishi ndugu na marafiki zangu nao wajitoe. Mpaka nachangia uzi huu nashukuru nimefanikiwa kuwashawishi ndugu zangu wote na baadhi ya marafiki na naendelea kuwashawishi wote mpaka nihakikishe sina contact za mtu yeyote wa voda.

hakikisha na lowasa anahamia airtel
 
Niliwahi kupost malalamiko yangu kuhusu hawa voda kwenye internet ni shida ukijiunga na na zile bando hufaidiki chochote!

Na ukiwa mikoani internet ni balaa huwa ni slow sana na hakuna huduma ya 3G na pesa inakwenda fasta!

Kibaya zaidi unaweza kujiunga na bando hela ikakatwa na bando usipate! Utahangaika kupiga customer care hakuna jibu mpaka chaji inaisha!

Kifupi voda ni ovyoo.
 
Ukiwa unatumia Voda ni sawa na Mpira tu kocha wako akawa ni David Moyes...

Voda ni kampuni la Mataperi Wa Dunia halijulikani anayelimiliki.... lina mfumo wa Freemason
 
B na F kwangu zimekuwa kero, mim huwa na kawaida ya kuweka Cheka ya week ya sh4999 lakin huwa haitoboi siku tatu, mbaya zaid nikijaribu ya mwezi ya sh15000 ndyo kabisa hata siku kumi hazifiki. Kiukwel Vodacom wamenichosha mwenyewe natamani kuwahama.


Sent from my iPad using JamiiForums app
 
Hiyo A. ni sahihi kabisa, nimetumiwa meseji ya msiba imechelewa kufika. yaani voda ni MAJANGA
 
Hahaha..Mkuu TATIANA nipo Chalinze natafuta kadi yangu ya kupigia kura siioni!
 
Last edited by a moderator:
sijaweka vocha na wiki 2 na ushee...still nipo hewani,. coaz wanabore.
 
Kwa kweli wanaudhi. Jana tu saa 11 jioni nilinunua LUKU kupitia m-pesa. Sms kunijulisha nimefanikiwa imekuja saa 3 usiku! Imagine. Muda wote tunasubiri tuko gizani. Jirani yangu aliishiwa luku saa 2 usiku. Ndani ya dakika 5 akawa amenunua umeme kupitia Tigopesa. Nimekoma. Sitathubutu tena kununua luku kupitia m-pesa.

Mi nilinunua LUKU saa 4 usiku majibu nikapata asbh saa 3 nipo kibaruani.
 
likingine kero kuu ni kukuwekea huduma ya nyimbo bila ya idhini yako,mke wangu anatumia voda mi nilihamia airtel na tigo toka mwaka jana,sisi ni wakristo nikimpigia mke wangu nyimbo inayoita ni kuruan

......point of correction, hamna nyimbo ya Qur'an ! ...aidha Qaswida au Duwa !
 
likingine kero kuu ni kukuwekea huduma ya nyimbo bila ya idhini yako,mke wangu anatumia voda mi nilihamia airtel na tigo toka mwaka jana,sisi ni wakristo nikimpigia mke wangu nyimbo inayoita ni kuruan

hii nimeshuhudia kwa mmoja wa mke wa mchungaji moro
 
Back
Top Bottom