Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Mkuu hayo wameyathibitisha wateja wenzangu. Hivi hela tunayokatwa ya kutoa/kuweka M-Pesa ni sawa kweli? Au mkuu unafanyia voda?
Anayetaka vya bure nani wewe mbulula??? tunachotaka sisi ni ubora wa huduma na siyo bure. pia tabia ya wizi wa dakika za maongezi. Nenda kawaambie wenzio tunachotaka sisi ni ubora na siyo vya bure. Nyamafu wewe!
Usicheze na voda kabisa bw.mmbando,umeruhusu watu kutuma na kupokea pesa bure kwa airtel money yako lakini hakuna mtu amekugeukia, pamoja na kwamba mpesa inakata hela nyingi lakini watu wanaitumia mara zote hata hao wateja wa airtel utasikia 'nitumie kwa mpesa' ...kuliko kupiga propaganda zenu za uongo hapa sumbueni vichwa mjue kwa nini mpesa imedominate hivi. Kuna siku nilitumiwa pesa kwa airtel money nikazunguka masaa kadha hapa mwanza kila wakala anasema hafanyi biashara ya airtel money hailipi!!
kwangu mimi tigo namuona km mfalme
Niliwahi kusema humu jf kua voda imezidi matatizo, internet slow au inakata mara kwa mara. Nikasema nimeamua kujitoa na nikaahidi kuwashawishi ndugu na marafiki zangu nao wajitoe. Mpaka nachangia uzi huu nashukuru nimefanikiwa kuwashawishi ndugu zangu wote na baadhi ya marafiki na naendelea kuwashawishi wote mpaka nihakikishe sina contact za mtu yeyote wa voda.
unachezea sharubu za simba?
Kwa kweli wanaudhi. Jana tu saa 11 jioni nilinunua LUKU kupitia m-pesa. Sms kunijulisha nimefanikiwa imekuja saa 3 usiku! Imagine. Muda wote tunasubiri tuko gizani. Jirani yangu aliishiwa luku saa 2 usiku. Ndani ya dakika 5 akawa amenunua umeme kupitia Tigopesa. Nimekoma. Sitathubutu tena kununua luku kupitia m-pesa.
likingine kero kuu ni kukuwekea huduma ya nyimbo bila ya idhini yako,mke wangu anatumia voda mi nilihamia airtel na tigo toka mwaka jana,sisi ni wakristo nikimpigia mke wangu nyimbo inayoita ni kuruan
likingine kero kuu ni kukuwekea huduma ya nyimbo bila ya idhini yako,mke wangu anatumia voda mi nilihamia airtel na tigo toka mwaka jana,sisi ni wakristo nikimpigia mke wangu nyimbo inayoita ni kuruan