Kweli kabisaNimeanza kutumia vadacom tangu 2002 ila nimekoma kuendelea nao tangu 2013 kutokana na kero zao. Kulazimishana huduma za miziki ambazo wengine hatuzitaki, tena kwa makato ni WIZI MTUPU. Anayeitetea Vodacom ni sawa na anayeitetea CCM (ukongwe usio na tija)
Ila we ndo umefika mbali sasa hawa tigo ninaowajua mm. Leo hii wageuke mfalme????kwangu mimi tigo namuona km mfalme
Halo tel wezi wa MB.Mitandao yote.... Wanatuibia tu
Katika huduma za kutumia pesa, kulipa bill, hata kutuma pesa kwenda mitandao mengine kutokea tigo, tigo wako vyema hufananishi ni mitandao mengine, niliwahi lala giza, kesho yake nikaweka pesa kwenye line ya tigo ndani ya sekunde 30, umeme tayari, lakini Voda kesho yake jioni ndiyo naambiwa muamala umesitidhwa nilibaki nashangaa.Mimi nilipata(ga) Luku kesho yake. Nilikoma kabisa. Tigo unapata within a minute
Hehehe tigo kanda ya ziwa nishemeji yake voda ukituma sms zaidi ya kumi zinazo fuata utasikia zimefika delayingkwangu mimi tigo namuona km mfalme
kumbe tupo wengiTatizo lako ni kama la kwangu tu..nmeshazoea msg za usiku kuzipata asubuhi hawa voda sijui wana nni..!
Siyo kwelimimi nilifululiza kununua bundle kubwa kubwa za intaneti na cheka ..siku nimeishiwa nikaamua nijiunge bundle la siku sikuamini wamelitoa kwenye menu ..ni kuanzia la wiki...maana yake ni nn?wananinyima haki ya kutumia la siku moja?huu si ni wizi wa mchana?
So wana Tx na Rx power kubwa frm antenna to MS ndio maana simu zinaisha chaji au ni kiki??
Au wana net iliyofatsa so application zinakua processed fasta???
Mnara na chaji ya simu...still thinking..