Vodacom sasa watapatapa kutafuta wateja

Vodacom sasa watapatapa kutafuta wateja

Nawashukuru kwa huduma moja ya my number 1 kwani wananiunganisha bila salio kwani nina miezi miwili sina salio.
 
Nimeanza kutumia vadacom tangu 2002 ila nimekoma kuendelea nao tangu 2013 kutokana na kero zao. Kulazimishana huduma za miziki ambazo wengine hatuzitaki, tena kwa makato ni WIZI MTUPU. Anayeitetea Vodacom ni sawa na anayeitetea CCM (ukongwe usio na tija)
 
Kweli kabisa
 
Voda kwanza mb zao haziend kihalali wanakata haraka mnoo, mtandao wao very slow, yaan kifurush kikiisha wanatuma misms mingi hadi kero,. Mi nimewahama siwataki voda nahamia halotel
 
Kuhusu ishu ya SMS Voda wamefeli vibaya sana, text unatumiwa asubuhi unaipata mchana au jioni
 
Mimi nilipata(ga) Luku kesho yake. Nilikoma kabisa. Tigo unapata within a minute
Katika huduma za kutumia pesa, kulipa bill, hata kutuma pesa kwenda mitandao mengine kutokea tigo, tigo wako vyema hufananishi ni mitandao mengine, niliwahi lala giza, kesho yake nikaweka pesa kwenye line ya tigo ndani ya sekunde 30, umeme tayari, lakini Voda kesho yake jioni ndiyo naambiwa muamala umesitidhwa nilibaki nashangaa.
 
Voda kwa kweli wananzngua saaana.. natamani hii thread ingewafikia... isitoshe umesahau na kiwango kidogo cha internet bundle.... kwa kifup voda chenga.....

Au nahisi ni micheZo ya makampuni yenzake seema hajastuka
 
halotel ndo habar ya mjini,hta tgo nao wez wakubwa voda ndo wanaongoza kwa wiz
 
Dah kweli hilo A ni ukweli mtupu yani namtumia mtu sms yupo chumba cha pili katika nyumba hiyohiyo ninayokaa cha kushangaza sms inafika cku ya pili yake
Vodacom wako hovyo saaana [emoji35][emoji35][emoji51][emoji51]
 
mimi nilifululiza kununua bundle kubwa kubwa za intaneti na cheka ..siku nimeishiwa nikaamua nijiunge bundle la siku sikuamini wamelitoa kwenye menu ..ni kuanzia la wiki...maana yake ni nn?wananinyima haki ya kutumia la siku moja?huu si ni wizi wa mchana?
 
Siyo kweli

Angalia vizuri
 
So wana Tx na Rx power kubwa frm antenna to MS ndio maana simu zinaisha chaji au ni kiki??
Au wana net iliyofatsa so application zinakua processed fasta???

Mnara na chaji ya simu...still thinking..

Mnara na chaji kuna uhusiano kiongozi. Ukiwa na Rx na Tx power hafifu ktk mnara, simu itatumia more power kuweza kuacess hyo svc.
 
Back
Top Bottom