inategemea na bei watakayouza hizo hisa , lakini pamoja na kupunguza wafanyakazi haya makampuni ya simu yanapata faida kubwa sana, kwa sasa karibia kila sector imeathirika, jana nilikuwa kwenye kampuni moja ya ujenzi nikakuta wako kwenye process ya kuondoa wafanyakazi. Inawezekana tu ni faida imepungua kwa makampuni hivyo wanaona na wao wapunguze gharama lakini sio kwamba wanapata hasara