Vodacom Shares zitauzika DSE?

Vodacom Shares zitauzika DSE?

kanyagio

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2009
Posts
1,021
Reaction score
366
Vodacom is to issue shares worth up to Sh500 billion in its planned initial public offer (IPO) - the highest in the history of IPOs in Tanzania.

Sasa ndugu wataalam wa DSE shares naomba tujadili kidogo. Kwa hali ya biashara ilivyo, je zitapata soko? Ninatamani kununua lakini taarifa za kupunguza wafanyakazi na pia makampuni mengine kupanga kufunga biashara zinanitia wasiwasi.
Tujadili
 
inategemea na bei watakayouza hizo hisa , lakini pamoja na kupunguza wafanyakazi haya makampuni ya simu yanapata faida kubwa sana, kwa sasa karibia kila sector imeathirika, jana nilikuwa kwenye kampuni moja ya ujenzi nikakuta wako kwenye process ya kuondoa wafanyakazi. Inawezekana tu ni faida imepungua kwa makampuni hivyo wanaona na wao wapunguze gharama lakini sio kwamba wanapata hasara
 
Back
Top Bottom