mbuzi wa mshenga
Senior Member
- Oct 28, 2016
- 160
- 173
VODACOM shida nini matuzimia mtandao hovyo?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hivi hawa watoa huduma za Voda kwa nini wanatuzimia mtandao hovyo na kutusababishia hasara na fedheha ya mawasiliano huku wakiendelea kutulia bando/vifurushi tunavyoeka?
Mbaya zaidi hata wakirudisha mtandao hewani hawaombi hata radhi au kuturudishia vifurushi vyetu!!! Hivi wenyewe hawaoni kama huu ni wizi kama wizi mwingine na ni kosa kisheria kuwafanyia wateja usumbufu wa namna hii?
Soma Pia: Shida ya mtandao inayoendelea nchini tatizo ni nini? Serikali mpo kimya kampuni za mitandao mpo kimya! Sasa nani ana majibu?
Je, Waziri wa Wizara husika haoni hili pamoja na wasaidizi wake wakalikemea hili? Ni aibu na fedheha kama Wizara husika wakikubali na kuendelea kukaa kimya kwa vitu kama hivi wanavyofanyia wananchi maskini katika nchi yao. Au na hili linahitahi wanasiasa kushika shilingi bungeni?