Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Sema na wewe ukibadili laini kwa kukurupuka utakuwa limbuzi kweli kama jina lako hilo weka namba nyingine sasa kwa ajili ya plan b hutaki kaa hivohivo uendelee kulizwa na hao vodaHivi unafahamu watu wameshakaa na hizo laini kwa muda gan na namba wanazotumia ukibadili lain atawaletea usumbufu au kupoteza watu wangapi? Je ushafikiri kwa wenye biashara zao waanze badili namba tena atapoteza watu wangapi? Tanua fuvu hilo unapota kuandika jambo kuliko kutumia mihemko ya ujuaji ujinga.
Na bado, watakuja kukupiga tukio zaidi ya kukata kata mtandao katika hiyo biashara yako kisa ujuaji huo
Sema haina noma huwa sipendi kubishana,
Fanya unachoona sahihi