Vodacom shida nini matuzimia mtandao ovyo?

Sema na wewe ukibadili laini kwa kukurupuka utakuwa limbuzi kweli kama jina lako hilo weka namba nyingine sasa kwa ajili ya plan b hutaki kaa hivohivo uendelee kulizwa na hao voda

Na bado, watakuja kukupiga tukio zaidi ya kukata kata mtandao katika hiyo biashara yako kisa ujuaji huo

Sema haina noma huwa sipendi kubishana,
Fanya unachoona sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…