Kisoda James
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 1,114
- 813
SawaSawa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaSawa mkuu
Pole chief...Mkuu, mimi walinipa vitisho vingi sana,
Problems start when these companies employ incompetent staffHakika inaharibu
Ingekuwa China wangepigwa vibokoHuu ni uzembe. Hawana umakini hawa jamaa
Tatizo lako unawapenda sana CHADEMASawa mkuu
Wadau mpaka sasa nasikia CCM imeshachukua majimbo naneKopa tena.
Ila unajua kabisa uzembe walioufanya
Taja namba yako tukupe msaadaShikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo changamoto za maisha katika jamii tunamoishi.
Eti ndugu zangu Vodacom Tanzania;
Kwanini mnataka kunisitishia huduma ya kukopa M-PAWA alafu tena mnaniuliza kama ninahitaji mkopo?
Hii message iliingia kwenye simu yangu nikiwa ninakunywa chai. Hauwezi kuamini nilicheka mpaka nikataka kuangusha kikombe cha chai chini.
MFANO KIDOGO.
==========
Just imagine Aisha alikopa pesa kutoka kwa Abdallah kiasi cha 200,000 na kuahidi kulipa pesa hiyo ndani ya kipindi cha mwezi mmoja. Baada ya mwezi mmoja kufika, Aisha alifanikiwa kulipa kiasi cha 90,000 tu na kubakiza deni la 110,000 kwa maana alifikwa na changamoto kadhaa zilizopelekea yeye kushindwa kumaliza deni lake.
Baada ya miezi mitatu baade Abdallah akaamua kwenda kutoa taarifa Police kwamba Aisha amegoma kulipa sehemu ya deni iliyosalia. Baada ya Aisha, Abdallah na afisa wa Police kukaa meza moja ya mazungumzo wakakubaliana kwamba Aisha ajitahidi alipe walau kiasi cha 5,000 kila week ili aweze kumaliza deni lile kidogo kidogo na endapo atashindwa kufanya vile basi hatua kali za kisheria zitafuata.
Sasa punde baada ya mazungumzo yale kuisha na kila mmoja kurejea nyumbani, Aisha anapokea tena ujumbe wa SMS kutoka kwa Abdallah na kumuuliza kama anahitaji tena kukopa pesa. Wewe unafikiri Aisha na yule askari Police (kama akipewa taarifa hii) watamfikiriaje huyu Abdallah? Is he Okay upstairs?
Pia Soma
=====
Kiingereza kibovu cha Staff wa Vodacom. M-Pawa confirmation message
Hatimaye Vodacom Tanzania wametekeleza "constructive idea" yangu niliyoandika humu JF. They were, at least, supposed to acknowledge my intellect
Anachokifanya Tundu Lissu kwa sasa ni kutafuta umaarufu kwa ajili ya 2025. Jpm baba laoTaja namba yako tukupe msaada
Wanahofu ya kushindwa na Magufuli Wanajua Magufuli lazima ashinde kwa 98% ndio maana hawataki wapambane naye.Problems start when these companies employ incompetent staff
Mabeberu waje washuhudie maendeleo yanayoletwa na Rais Magufuli.Pole chief...
Lissu itakuwa alipigwa risasi na Wadeni wake au alikua anachukua wake za watu, ndiyo hayo matatizo kajisababishia!!Mkuu, wadaiwa walipaswa kutenganishwa na wale wateja wasiodaiwa
Mwanza Mwanza Yamaliza Uchaguzi Mapemaaaa Mgufuri Kushinda kwa kishindo.Hakika