Vodacom Tanzania led by a Kenyan

Vodacom Tanzania led by a Kenyan

Wakenya huwezi watoa popote. Huko Bostwana professionals kama wote ni sisi, SA usitake jua, Europe tuko huko, USA Rais tumewatolea, Australia Senator tumewatolea, Tz ni shamba la bibi, S. Sudan inaendeshwa Nairobi. Yaani nikiona Mbongo akijaribu kupigana na Wakenya namhurumia tu.
Wee bwege angalia una kauli za kishujaa .Tz ya sasa sio ile ya zamani
 
Mimi nilikua naona Watanzania Tuache Kulia lia, Kama kuna Watanzania wana sifa hizo Basi waombe waingie kwenye Interview Tupambane na hao tuone na si kusubiri Vyeo vya kupeana na Kuteuliwa.
 
Mnaletwa na mabwana zenu ambao wamezoea kulambwa miguu na nyinyi huku walamba miguu wanawakosa wanarudi huko kwa wake zao
Mmewalamba Wachina miguu tangu uhuru, mbona hawamleti mkaongoze biashara zao huku Kenya?
 
Mmewalamba Wachina miguu tangu uhuru, mbona hawamleti mkaongoze biashara zao huku Kenya?
Haha kuna mchina huku tumempa hata kakipande cha ardhi yetu halaf sisi wenyewe tukakosa ardhi? Huko mmewagawia nchi mabwana zenu halaf makajambanane nyie ndo mnataka mkimbilie kwa wengine muwaletee shida zenu bakini na ndoa yenu na mabwana zenu endeleeni kuwalamba miguu vizuri
 
I would have continued this discussion but I realize you're stupid. Please allow me to bow out.
 
Ila lazima tukubaliane watz wengi na wakenya walio wengi hawana kazi za kufanya....

Waganda huwezi kuwakuta kwenye ujinga wa kusutana sutana hovyo mitandaoni
Watani wajadi hawa mkuu.
 
Back
Top Bottom