Wa-block!
Inashindikana mkuu. Labda ku hide alert. Lakn jumbe zinaingia kila siku kama mvuaWa-block!
Unatumia njia gani ku-block?Inashindikana mkuu. Labda ku hide alert. Lakn jumbe zinaingia kila siku kama mvua
Naenda kwenye contact info- kwa chini kuna option ya ku block.Unatumia njia gani ku-block?
Mimi pia natumia hiyo njia na inafanya kazi bila shida yoyoteNaenda kwenye contact info- kwa chini kuna option ya ku block.
I do block- lakini meseji zinaingia bado from the blocked numbers.
Nikiangalia tena contact info nakuta not blocked.
Kuna njia nyingine ?
Itabidi nifike YasShop maana imekua kero sanaMimi pia natumia hiyo njia na inafanya kazi bila shida yoyote
Sijui kwako shida itakuwa ni nini!
mama ametusimulia sana ila hadithi zinatofautiana jamii na jamii.Kwa hiyo mama yako hakuwa anakusimulia hadithi????