Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
airtel ndo baba lao though bundle zinazidi pungua siku baada ya siku
Dawa yao hawa ni kununua salio kupitia M_pesa kulingana na kifurushi unachotaka kununua, mimi pia ni mhanga wa tatizo hilo ila kwa sasa hawanipati kwa kuwa natumia njia niliyoieleza hapo juu.
Mitandao yote ya simu Tanzania ni wezi. Na hii mi TCRA imekaa kujilia miposho na misafari isiyokwisha.
Amkeni, Watanzania wanaibiwa huku bila huruma.
Vodacom ni majizi sana. Unanua bundle la siku 30 lakini hapo katikati unaambiwa muda umeisha uongze salio. Ukiuliza unaambiwa ni mitambo na unaahidiwa kupewa jibu in 24 hrs jibu ambalo hakuna siku linatoka.
Naoiomba serikali iwalinde wananchi dhidi ya wizi huu. Soko huria si siko holela N i lazima taasisi inayosimamia makampbuni ya simu ihakikishe usalama wa taumiaji huduma.
Vodacom ni janga kubwa!.
customer care baadhi ni kama wamepewa ajira freely u cnt blv kuna mda mwingine wanakosa msaada
unaeza ukaongea hata na watatu mpaka uje upate msaada
Hakuna wizi angalia setting kwenye simu yako net inakula muda wote
Ndugu naomba nielekeze hiyo njia tafadhal Kwan line hii naitumia hata job so ni ngumu kuibadil abruptly
Hakuna wizi angalia setting kwenye simu yako net inakula muda wote
Dawa yao hawa ni kununua salio kupitia M_pesa kulingana na kifurushi unachotaka kununua, mimi pia ni mhanga wa tatizo hilo ila kwa sasa hawanipati kwa kuwa natumia njia niliyoieleza hapo juu.
Vodacom ni majizi sana. Unanua bundle la siku 30 lakini hapo katikati unaambiwa muda umeisha uongze salio. Ukiuliza unaambiwa ni mitambo na unaahidiwa kupewa jibu in 24 hrs jibu ambalo hakuna siku linatoka.
Naoiomba serikali iwalinde wananchi dhidi ya wizi huu. Soko huria si siko holela N i lazima taasisi inayosimamia makampbuni ya simu ihakikishe usalama wa taumiaji huduma.
Vodacom ni janga kubwa!.
Hakuna wizi angalia setting kwenye simu yako net inakula muda wote
weka hela kwa M_PESA kisha nunua kiasi cha unachotaka kujiungia.