Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Dawa yao hawa ni kununua salio kupitia M_pesa kulingana na kifurushi unachotaka kununua, mimi pia ni mhanga wa tatizo hilo ila kwa sasa hawanipati kwa kuwa natumia njia niliyoieleza hapo juu.
 
Ndugu naomba nielekeze hiyo njia tafadhal Kwan line hii naitumia hata job so ni ngumu kuibadil abruptly
 
Afu unawapigia customer care mtu anakujibu kizembe kama hana ubongo bali uji ktk kichwa chake kwel div 5zitatutesa sana
 
Vodacom ni majizi sana. Unanua bundle la siku 30 lakini hapo katikati unaambiwa muda umeisha uongze salio. Ukiuliza unaambiwa ni mitambo na unaahidiwa kupewa jibu in 24 hrs jibu ambalo hakuna siku linatoka.

Naoiomba serikali iwalinde wananchi dhidi ya wizi huu. Soko huria si siko holela N i lazima taasisi inayosimamia makampbuni ya simu ihakikishe usalama wa taumiaji huduma.

Vodacom ni janga kubwa!.
 
Mitandao yote ya simu Tanzania ni wezi. Na hii mi TCRA imekaa kujilia miposho na misafari isiyokwisha.

Amkeni, Watanzania wanaibiwa huku bila huruma.
 
customer care baadhi ni kama wamepewa ajira freely u cnt blv kuna mda mwingine wanakosa msaada

unaeza ukaongea hata na watatu mpaka uje upate msaada
 
Kweli kama TCRA wapo halafu wizi wa wazi kama huu unatokea tukimbilie wapi? Isitoshe uhuni huu wanfanyiwa watu wengi tu halafu watu wanatulia kwenye viyoyozi wakinywa chai its sad kwa kweli
 
Vodacom ni majizi sana. Unanua bundle la siku 30 lakini hapo katikati unaambiwa muda umeisha uongze salio. Ukiuliza unaambiwa ni mitambo na unaahidiwa kupewa jibu in 24 hrs jibu ambalo hakuna siku linatoka.

Naoiomba serikali iwalinde wananchi dhidi ya wizi huu. Soko huria si siko holela N i lazima taasisi inayosimamia makampbuni ya simu ihakikishe usalama wa taumiaji huduma.

Vodacom ni janga kubwa!.

Vodacom tz ni wezi nimeamini nilikuwa napuuzia ila waliponiibia salio langu kwa mara ya tatu leo nikasema enough is enough Watanzania tusilee uzembe watazoea alafu itageuka tabia
 
customer care baadhi ni kama wamepewa ajira freely u cnt blv kuna mda mwingine wanakosa msaada

unaeza ukaongea hata na watatu mpaka uje upate msaada

Nimepiga customer care anapokea binti ananiuliza unatumia simu aina gani nikamtajia akanijibu kizembe tu simu hizo zina tabia ya kula salio nikamwuliza hata kama sijaingia kwenye mtandao wowote akanijibu ndiyo i was like really? Sijui wanawaokota wapi hawa watu
 
Hakuna wizi angalia setting kwenye simu yako net inakula muda wote

Setting ipi ndugu? Mbona mwanzo salio halikuwa likipotea kimiujiza? Mwanzo nilikuwa naweka salio then najiunga na bundle ya wiki fresh ghafla upoteaji wa salio ndo umeanza na imetokea mara 3sasa
 
Hakuna wizi angalia setting kwenye simu yako net inakula muda wote

Wewe nawe ndy wale wale mpaka mtu anaanzisha uzi hapa uje ehajakurupuka

hoja nzito mnajibu kwa majibu mepesi mepesi tu ptu ptuu Mulugo's type 😡😡
 
wekea salio kwenye simu ya kawaida na ukishajiunga usibakize salio watakufirisi
 
Dawa yao hawa ni kununua salio kupitia M_pesa kulingana na kifurushi unachotaka kununua, mimi pia ni mhanga wa tatizo hilo ila kwa sasa hawanipati kwa kuwa natumia njia niliyoieleza hapo juu.

Kwan watu wameuza hisa zao vodacom , rostam ... Sasa waliokuja nadhan wanataka kurudisha hela yao haraka haraka . Inakuaje unaweka salio kwenye cm Ya kitochi wanakomba huko halafu ukiuliza wanakuambia eti niliweka MOBILE data on .. Huu ni wiz wa hali Ya juu
Mim hadi line yao nimeichoma kwa hasira.
 
Vodacom ni majizi sana. Unanua bundle la siku 30 lakini hapo katikati unaambiwa muda umeisha uongze salio. Ukiuliza unaambiwa ni mitambo na unaahidiwa kupewa jibu in 24 hrs jibu ambalo hakuna siku linatoka.

Naoiomba serikali iwalinde wananchi dhidi ya wizi huu. Soko huria si siko holela N i lazima taasisi inayosimamia makampbuni ya simu ihakikishe usalama wa taumiaji huduma.

Vodacom ni janga kubwa!.

kwanza ukijiunga na bundle ya mwezi net inakuwa slow,ndo walivyoseti,wezi sana
 
Hakuna wizi angalia setting kwenye simu yako net inakula muda wote

Watu wanavolalamika wana hoja Ya msingi setting Ya nin kwenye kutochi
Mim nimeacha elfu 3000 kwenye sim yangu Ya tochi kuisho yake nakuta 100 sasa zimeenda wapi na hii Si mara Ya kwanza.. Ukiwapigia wanatoa MAJIBU mepes kama yako .
setting kwenye sim Ya tochi inahusikaje na kumaliza salio la mtu?
 
Back
Top Bottom