kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,111
Watu wanavolalamika wana hoja Ya msingi setting Ya nin kwenye kutochi
Mim nimeacha elfu 3000 kwenye sim yangu Ya tochi kuisho yake nakuta 100 sasa zimeenda wapi na hii Si mara Ya kwanza.. Ukiwapigia wanatoa MAJIBU mepes kama yako .
setting kwenye sim Ya tochi inahusikaje na kumaliza salio la mtu?
Wewe nawe ndy wale wale mpaka mtu anaanzisha uzi hapa uje ehajakurupuka
hoja nzito mnajibu kwa majibu mepesi mepesi tu ptu ptuu Mulugo's type 😡😡
Watu wanavolalamika wana hoja Ya msingi setting Ya nin kwenye kutochi
Mim nimeacha elfu 3000 kwenye sim yangu Ya tochi kuisho yake nakuta 100 sasa zimeenda wapi na hii Si mara Ya kwanza.. Ukiwapigia wanatoa MAJIBU mepes kama yako .
setting kwenye sim Ya tochi inahusikaje na kumaliza salio la mtu?
Hakuna wizi angalia setting kwenye simu yako net inakula muda wote
Kama mnabisha weka hiyo vocha kwenye Nokia ya tochi isiyo na uwezo was 3G tuone kama itakatwa...acheni ubishi. Unatakiwa uzime internet kabla hujaweka vocha...
Vipi unaponunua bundle la non limetd kwa sku thelathini halfu baada ya 25 days unaambiwa kifurushi kimeisha???
Unataka kusema nini wewe?
Mimi I hate them, they make me sick to my stomach... Huwa najiunga na tigo weekend kuangalia live streaming mpira kwa tigo mambo ni swafi ile mbaya jana nikasema nina hela kwenye mpesa wacha nijiunge na voda nikajiunga jaribu kustream hakuna kitu nimeamka nayo nikajaribu tena hakuna kitu
Nimewapiga chini kabsa wala sitarudi nyuma
Mimi ni mteja was Voda wala sio customer care. Ila unlimited ya network za bongo wanachofanya wanakupa good speed kwa GB kadhaa alafu unapata slow connection bila kukatwa up to 30 days. Kama ulikatwa kawalalamikie wakulipe huo utakua ni wizi. Alafu karibu mitandao yote tabia zao ziko same mkuu...
Huu ni upumbavu.
Hivi hawa watu wanaotoa huduma hizi za simu wanatuonaje wateja wao?
Je wametugeuza migodi ya pesa ama kitu gani? Hiyo elimu ya biashara na huduma kwa mteja ni nani mwalimu wao au wapumbavu wao...?
Tizama nimejiunga na kifurushi cha tigo kama mb 900 hivi..then baada ya kujiunga huduma zao zikafanya fujo then zinakuja kurudi muda wa kifurushi umekwisha kisha unawapigia simu wakupe ufafanuzi wanakujibu kua hayawahusu..hii maana yake nini?....
Natamani kusema "ku" lakini namuheshimu mama..jirekebisheni bwana..pesa haichumwi mtini.
Setting nimeangalia nimewapelekea pia wenyewe kwenye tawi lao lakin leo nimenunua salio la elfu 5kwa M_pesa na still wamelikomba bila kutumia huduma yeyote narudia Voda acheni wizi hata kama ni faida mnataka si kwa kuibia wateja
nitajaribu tena voda maana kwa sasa tigo ni tatizo na hawasikilizi tena malalamiko wao wanapiga hela tu!
Nimekuwa mteja wenu wa net kwa muda sasa ila mmeanza kunisikitisha kwa kuniibia salio langu mara tatu sasa. Nimekuwa naweka salio la elfu tano afu najiunga na bundle la internet ya wiki, ila mara 3 sasa nimeweka salio la elfu tano ila nilipotaka kujiunga na internet bundle ya wiki mmekuwa mnanambia sina salio na nikichek salio kweli linasoma sifuri ilhali sijatumia hata senti. Nimewapigia simu mara zote tatu mnadai simu yangu inakula salio hata kama haitumiki what a lame excuse, hawa waajiriwa wenu wasioelewa nature ya tatizo na kumsaidia mteja mnawaokota wapi? Acheni wizi hata kama mtu unasalio kwenye simu si kwaajil yenu kuliiba sh*t soon nitaopt another network provider coz you not the only fish in the ocean
mimi nilikuwa mteja wa internet vile vifurushi vya unlimited vya elfu 30 kwa mwezi, kuna siku ile naweka tu vocha ya kwanza ya buku 10 kabla sijamaliza zoezi la kuweka vocha zote nikacheck salio nikakuta 0
nikaona isiwe tabu, kilaini chao nimekitupa mwaka wa pili sasa,