kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,111
Watu wanavolalamika wana hoja Ya msingi setting Ya nin kwenye kutochi
Mim nimeacha elfu 3000 kwenye sim yangu Ya tochi kuisho yake nakuta 100 sasa zimeenda wapi na hii Si mara Ya kwanza.. Ukiwapigia wanatoa MAJIBU mepes kama yako .
setting kwenye sim Ya tochi inahusikaje na kumaliza salio la mtu?
Nenda kaombe statement ya matumizi yako kwenye vituo vyao