Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom!

Hili punguzo la MB kutoka 100 hadi 8 ni kubwa sana.. Ni sawa na 80% (Asilimia Themanini)..

Punguzeni wizi wa hali ya juu kiasi hiki.. Mlizoea kudokoa sasa mnakomba zote.....
 
Me jana voda mmeniboa sana nlishazoea yani nimeweka buku kujiunga ile kufungua tu data naambiwa kifurushi cha Internet kimekwisha, jamani kuweni waungwana, kweli kutoka mb 100 hadi mb 8 hiyo ni haki kweli! !?
 
Ndo mana Vodacom wanaambia "VODACOM KAZI NI KWAKO"
☝☝☝☝☝☝
😁😁😁😁😁😁😁
 
Siwataki hata kuwaona wameninunurisha luku na kuniachaia majanga
Ama kweli kazi ipo kwanguuuu
 
Vodacom Tanzania anzeni kufunga ofisi zenu mapema,leo huu wizi mnaotufanyia mchana kweupe haukubaliki kamwe
 
mbona wahusika wa vodacom hats hawaji humu kufafanua hali hii au pia wametudharau?

ila wakumbuke kuwa marketing behaviour ni kuwa ukimpoteza mteja mmoja unatengenezamazingila ya kupoteza wateja wengine zaidi kupitia huyo mmoja...
 
mimi ni muimin hiv sasa wa airte nsomba kujua hizo bundle nijiungaje nami niburudike kwakwenda mbele
 
mbona wahusika wa vodacom hats hawaji humu kufafanua hali hii au pia wametudharau?

ila wakumbuke kuwa marketing behaviour ni kuwa ukimpoteza mteja mmoja unatengenezamazingila ya kupoteza wateja wengine zaidi kupitia huyo mmoja...

kama costomer care wao ndio wale ninaoongeaga nao basi ni kweli kuwa hawa jamaa dharau ni kawaida yao, dawa ni kuwahama tu
 
G O O D B Y E E E
VODACOM
KAZI IMEWASHINDAAAAA
Vifushi vya masaa 24 voda kwenda voda
Tsh 150=10 sms
Tsh 500= dk 15+250sms+8mb
Tsh 650= dk 30+300sms+8mb
Tsh 1000= dk 50+300sms+8mb
vodacom kwenda mitandao mingine
Tsh 150= sms 10
Tsh 499= dk 7+300sms+8mb
Tsh 649= dk13 +450sms+8mb
Tsh 999= dk 20+1000sms+8mb
vifurushi vya wiki voda kwenda voda
Tsh 1050= sms 70
Tsh 2000= dk 60+150sms+60mb
Tsh 2800= dk 85+700sms+60mb
Tsh 4000= dk 140+1750 sms+60mb
Tsh 7000= dk 250+2100sms+60mb
Tsh 10000= dk 360+2500sms+60mb
vodacom mitandao yote kwa wiki
Tsh 1050= sms 70
Tsh 1999= dk 29+500sms+6omb
Tsh 3999= dk 49+500sms+60mb
Tsh 4999= dk 91+1000sms+60mb
Tsh 9999= dk 190+1000sms+60mb
WEWE UNAEJIITA MARKETING MANAGER......HUU
SIO UBUNIFU ILA NI UMBUMBUMBU
YOUR FIRED!!!!.......... 👹 📌 🔧
MB 8 ............NAZIPELEKA WAPIIIIIIIII HATA
MUKTASARI WA GAZETI LA MWANASPORT SIPATI
 
sihitaji stress . wacha nihamie basi kubwa.
 

Attachments

  • 1423758358692.jpg
    59.7 KB · Views: 191
***** zao voda ngoja nmalize hizi mb zao navunja laini yao rasmi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…