sosoliso
JF-Expert Member
- May 6, 2009
- 8,540
- 9,473
Nimetoka kuwapigia simu kuulizia kama ndio vifurushi vipya hivyo au vipi; jibu nililipewa na customer care ni labda itakuwa nimekosea kusoma...wakati kumbe ndio hali halisi. NIMEKUJA KUGUNDUA HAWA JAMAA NI MAJAMBAZI
Mimi niliwapigia kuwauliza.. Jibu alilonipa huyo dada wa customer care ni ati vilivyobadilishwa ni vya voda kwenda voda tu.. Kwenda mitandao mingine imebaki vile vile.. Kuja kuangalia kumbe ni uongo.. Kote wamefyeka MB..
Ninajiuliza nyuma ya sababu ya maamuzi haya ni nini.. Jeee ni njia ya kupunguza watu wasiingie kwenye mitandano..? Kwamba kuna sababu za kisiasa ili kupunguza wimbi la mabadiliko kupitia kwenye mitandao ya jamii..?
Anything's possible kwa nchi yetu hii pendwa..


