Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Nimetoka kuwapigia simu kuulizia kama ndio vifurushi vipya hivyo au vipi; jibu nililipewa na customer care ni labda itakuwa nimekosea kusoma...wakati kumbe ndio hali halisi. NIMEKUJA KUGUNDUA HAWA JAMAA NI MAJAMBAZI

Mimi niliwapigia kuwauliza.. Jibu alilonipa huyo dada wa customer care ni ati vilivyobadilishwa ni vya voda kwenda voda tu.. Kwenda mitandao mingine imebaki vile vile.. Kuja kuangalia kumbe ni uongo.. Kote wamefyeka MB..

Ninajiuliza nyuma ya sababu ya maamuzi haya ni nini.. Jeee ni njia ya kupunguza watu wasiingie kwenye mitandano..? Kwamba kuna sababu za kisiasa ili kupunguza wimbi la mabadiliko kupitia kwenye mitandao ya jamii..?

Anything's possible kwa nchi yetu hii pendwa..
 
140822_vodacom.jpg
 
Vodacom Tanzania mjilete hapa mtoe yale majibu yenu mepesiii kama kawaida yenu, mabadiliko hata costomer care hawayajui!!! what a shame, mie ngoja tu nikajishindanie toyota ist
 
Last edited by a moderator:
Ikifika ijumaa hawajabadili nahama kabisa huu mtandao.. huenda mkataba wao na mm ukakoma ijumaa.. nasubr majib kwa voda plz

Mimi kesho nakwenda kununia line ya airtel wamenibiia vya kutosha hawa MAKABAILA wakubwa.
 
vodacom mmechoka kwenye swala la vifurushi vya data .. 8 mb mara 30mb. kwa mtu anayetumia smartphone anajiunga na cheka unampa mb30. why dont you compare with other providers like airtel and review?????
 
Yaani hawa jamaa wa ajabu sana. Sijui competitive advantage ya kwao ni nini. Au wanajivunia logo?
 
angalia banndo za airtel za airtime kwa saa24 na bando za data za wiki.
 

Attachments

  • 1423679336860.jpg
    1423679336860.jpg
    62.9 KB · Views: 233
  • 1423679455495.jpg
    1423679455495.jpg
    50.3 KB · Views: 230
Kiukweli inasikitisha sana, yaani vifurushi vyote wameweka mb8. Nimeapa kesho nanunua lain ya airtel, na nikishahama voda naivunjavunja vipandevipande na kuwataarifu ndugu,jamaa na marafiki kuwa voda nimeizika rasmi.
 
kwahelin vodacom, nasubiria kifurushi changu cha wiki kiishe nihamie kwingine, how comes kupunguza bundle ya wiki kutoka 350mb mpaka 60mb? inatosha sasa.
 
hizo rate za 6mb na 8mb ovyo kabisa, wasipo chukua hatua za kurekebisha muda wowote nahama huu mtaa.
 
Vifushi vya masaa 24 voda kwenda voda
Tsh 150=10 sms

Tsh 500= dk 15+250sms+8mb

Tsh 650= dk 30+300sms+8mb

Tsh 1000= dk 50+300sms+8mb

vodacom kwenda mitandao mingine

Tsh 150= sms 10

Tsh 499= dk 7+300sms+8mb

Tsh 649= dk13 +450sms+8mb

Tsh 999= dk 20+1000sms+8mb

vifurushi vya wiki voda kwenda voda

Tsh 1050= sms 70

Tsh 2000= dk 60+150sms+60mb

Tsh 2800= dk 85+700sms+60mb

Tsh 4000= dk 140+1750 sms+60mb

Tsh 7000= dk 250+2100sms+60mb

Tsh 10000= dk 360+2500sms+60mb

vodacom mitandao yote kwa wiki

Tsh 1050= sms 70

Tsh 1999= dk 29+500sms+6omb

Tsh 3999= dk 49+500sms+60mb

Tsh 4999= dk 91+1000sms+60mb

Tsh 9999= dk 190+1000sms+60mb

HIVI KWELI NYIE Vodacom Tanzania MMEKAA MKIWA NA AKILI ZENU TIMAMU MKAPANGA NA KUJA NA VIWANGO VYA KIJINGA KAMA HIVI..?

Bora mkuu umeliona hilo hata Mimi wamenikera sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom